SIKU YA PILI: KIKAO CHA MAAFISA AFYA MKOA WA LINDI KINAENDELEA DDC HALL
byNIJUZE-
0
Maafisa Afya wa Mkoa wa Lindi kutoka katika Halmashauri zote za Mkoa Lindi wanakutana katika kikao cha kazi kinachoendelea kwa siku 2 katika ukumbi wa DDC uliopo katika Manispaa ya Lindi. Moja ya malengo ya kikao hicho ni kupitia mikakati wanayojiwekea kila mwaka katika utekelezaji wa shughuli za Afya Kinga na Usafi wa Mazingira katika Mkoa wa Lindi.