NIJUZE NIJUZE Author
Title: SHREHE ZA KUMBUKUMBU ZA MASHUJAA ZILIZOFANYIKA KIMKOA KATIKA KIJIJI CHA NANDETE SEHEMU AMBAYO VITA VYA MAJIMAJI VILIANZA WILAYANI KILWA
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
MKUU WA MKOA WA LINDI AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOFIKA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBU KUMBU ZA MASHUJAA KATIKA MNARA WA VITA V...
image MKUU WA MKOA WA LINDI AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOFIKA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBU KUMBU ZA MASHUJAA KATIKA MNARA WA VITA VYA MAJIMAJI SEHEMU AMBAYO VITA HIVYO VILIANZIA KATIKA KIJIJI CHA NANDETE-KIPATIMU WILAYANI KILWA
image MNARA WA KUMBUKUMBU ZA MASHUJAA WA VITA VYA MAJI MAJI ULIOPO KATIKA KIJIJI CHA NANDETE KILWA...HAPO NDIPO AMBAPO VITA HIVYO VILIANZIA.image MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZILA AKISOMA MAELEZO MBALIMBALI YA HISTORIA YA VITA VYA MAJIMAJI ...AWALI ALIWEKA MSHALE KUASHIRIA KUWAKUMBUKA MASHUJAA HAO KATIKA KUENZI HISTORIA HIYO MKOA WA LINDI ULIKUMBUKA HISTORIA HIYO KWA KUAZIMISHA SIKU HIYO  KIMKOA KATIKA ENEO HILO MUHIMUimageVIONGOZI MBALIMBALI WA MKOA WA LINDI WAKIWEMO WAKUU WA WILAYA ZA MKOA WA LINDI WAKIWA KATIKA MNARA HUO IKIWA NI ISHARA YA KUWAKUMBUKA
VITA VYA MAJI MAJI VILIISHA TAREHE 08 AUG 1907 WASHINDI WAKIWA WATAWALA WA KIKOLONI WA KIJERUMANI NA HUKU WAKIACHA MAELFU YA MAITI YA WAPIGANAJI NA WENGINE WALIOSALIMIKA WAKITESEKA KWA NJAA KATIKA MAENEO YOTE YA VITA HIVYO NA HUU IKAWA MWANZO WA HARAKATI ZA UKOMBOZI KUFUATIA VITA HIVYO KUUNGANISHA MAKABILA MBALIMBALI NA KUDAI UHURU.
STORY NA PICHA: ABDULAZIZ.LINDI

About Author

Advertisement

 
Top