Wakati upigaji kura ukiwa umemalizika tangu saa kumi kamili jioni hii, matokeo yaliyoanza kubandikwa yanaonyesha kuwa CHADEMA inaongoza katika vituo kadhaa vya mjini ikiwemo eneo la Liganga walikoweka kambi yao wakati wa kampeni. Taarifa zaidi zitaendelea kuja baadaye…
Tags
Siasa Ya Tanzania