Soko la feri upande wa kukaangia samaki limeshika moto leo tarehe 4/4/2012 asubuhi katika muda wa saa nne (4) mpaka sita (6) nakulazimu gari la zima moto yaani fire kuja kuuzima moto huo ambao ulikuwa unaendelea kuzimwa na wananchi wengi ambao ni wachuuzi wa samaki sokoni hapo.
Hata hivyo haikujulikana ni hasara kiasi gani imesababishwa na moto huo na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa katikla tukio hilo. Moto ukiendelea kuunguza soko hilo leo asubuhi.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.