Manchester United wametajwa tena kama timu ya soka tajiri zaidi duniani - wakitajwa kuwana thamani ya £1.39billion.Mabingwa hao wa Uingereza wamekaa kileleni mwa listi ya jarida la kimarekani la Forbes kwa miaka 8 mfululizo kufuatia mwaka mwingine wa mafanikio chini ya Sir Alex Ferguson.
Majirani zao Manchester City wenyewe pamoja na matanuzi yote ya Fedha hawajaweza hata kuingia Top 10 - wakishika nafasi ya 13. Timu nyingine ya kiingereza iliyofuata nyayo za United ni Arsenal waliopo nafasi ya nne, wakifuatiwa na Chelsea katika nafasi ya saba, Liverpool wapo nafasi ya 8 na Tottenham wakiwa nafasi ya 11. Giants wa Spain Real Madrid wapo nafasi ya pili, wakifuatiwa na wapinzani wao Barcelona. Bayern Munich wamekamAta nafasi ya tano.
LISTI KAMILI TIMU TAJIRI DUNIANI BY FORBES MAGAZINE
Rank TeamCurrent Value ($mil) 1-Yr Value Change (%) Debt/Value (%) Revenue ($mil) Operating Income ($mil)
1 Manchester United 2,235 20 32 532 178
2 Real Madrid 1,877 29 13 695 214
3 Barcelona 1,307 34 54 653 96
4 Arsenal 1,292 8 32 364 98
5 Bayern Munich 1,235 18 13 466 90
6 AC Milan 989 18 9 341 29
7 Chelsea 761 16 22 362 76
8 Liverpool 619 12 8 295 45
9 Juventus 591 –8 15 223 -38
10 Schalke 04 587 56 40 293 101
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.