Womens Day! wanawake na akina baba wanena..

image

KHADIJA MADEBE ON FACEBOOK WALL SAY'S

Wanawake 2mjue mungu,2ache wivu na roho mbaya kuumizana wenyewe kwa wenyewe,kurogana kila cku sio vizur uyo mganga hata yy ni binadam kama ww uchawi una mwisho lakin baraka za mungu hazina mwisho 2pendane"HAPPY WOMAN'S DAY"

SI WANANWAKE TU WALIO TOA MAONI YAO PIA AKINA BABA NAO HAWAKUWA NYUMA

SEIF KIRUNGI ON FACEBOOK WALL

LEO KINAMAMA NI SIKU YENU ITUMIENI SIKU HII KUREKEBISHA KASORO ZENU KWA MFANO MUKIPATA NAFASI YA KUONGEA HUWA MARA NYINGINE MUNAONGEA MAMBO YA AJABU SANA MAVAZI NAYO KWENU NITATIZO.ASILIMIA KUBWA YAKINADADA WAMEKOSA HAYA KABISAA

HIZO NDIZO BAADHI YA JUMBE ZILIZO TAWALA SIKU YA LEO KATIKA SIKU PEKEE AMBAYO WANAWAKE WOTE DUNIANI WANA AZIMISHA SIKU YAO HIVYO WAMEASWA KUBADILIKA ILIKUJILETEA MAENDELEO KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post