MR. MISIFA MBARONI KWA KUINGILIA MSAFARA WA PRESIDENT

Msanii wa Bongo flava na mkali wa ngoma ya Bongo flava, Dully Sykes a.k.a Mr Misifa alikamatwa na polisi baada ya  kuvamia msafara wa Rais bila yeye kujua, alikua kasi sana

hakujua kama kulikua na msafara huo, Alipopita akasimamishwa na polisi wakakoki bunduki tayari kwa ajili ya kushambulia gari hilo ili kuepusha chochote ambacho kingeweza kutokea kwa rais, Dully akaenda mbele

akapark petrol station nakushuka akamkamata nakumhoji ndipo akasema hakujua na alikua anawahi sana baada ya mtu aliekua anamlipa pesa zake baada ya kufanya tangazo la kinywaji.

“ Ilibidi niwahi sana baada ya jamaa kuniambia anataka aondoke na anazo pesa zangu” Alisema Dully. Alipokaguliwa akakutwa na

makosa mawili la kwanza kuendesha bila leseni ambayo alikua ameiacha nyumbani Dully anasema pamoja na Insurance ya gari ilukua

imeisha muda wake.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post