Aliye kuwa Mkuu wa Wilaya Liwale Azikwa Leo na JK

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza na Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakiwa mazikoniRais  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za Mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post