Huyu ndie Hamisi Kiiza ndio aliyo badilisha ubao wa magoli Uwanja wa Taifa kipindi Cha kwanza baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa Shadrak Nsajigwa. hadi halftime yanga wako mbele kwa Bao moja.
Mungu ibariki yanga
Tags
Young African FC