HENRY MDIMU ACHUKUA JIKO

image Mwandishi wa Habari za Burudani na Michezo wa Mwananchi ambaye pia ni Mtangazaji wa Times FM "Kituo cha Kazi" Henry Mdimu pichani maarufu kama Zee la Nyeti  jana aliamua kukubali yaishe pale aliupofunga ndoa yake takatifu na mwanadada Angel Peter. Mdimu aliwavunja watu mbavu wakati wa tafrija hiyo pale wakati wa utambulisho alipomsimammisha mama yake mdogo na kudai kuwa enzi ya utoto wake aliwahi kimbia sindano Hospitali na kumwachia malapa mama yake huyo chumba cha sindano. Pia alipomtambulisha mjomba wake alidai siku moja alikamata vijana walio mtania Mdimu na kuwapa adhabu ya kuosha vyombo nyumbani kwao.

Msanii wa bongo fleva kutoka THT Barnabas akitoa burudani huku akicheza na bwana harusi na bibi harusi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post