DIAMOND PLATNUMS KIZIMBANI - IRINGA

image

Mwimbaji DIAMOND PLATNUMS, amefikishwa leo asubuhi kwenye MAHAKAMA ya MWANZO BOMANI mjini Iringa kwa ajili ya kesi ya kumpiga na kumuharibia vifaa mwandishi wa habari Francis Godwin. Mwandishi huyo wa habari amesema asingemfikisha DIAMOND mahakamani kama angekubali kumuomba msamaha, lakini kwa sababu hakukubali kufanya hivyo ndio maana akaamua kumfungulia kesi. wiki iliyopita, Mwandishi huyo alikataa kupokea shilingi milioni 1.7  alizotumiwa na  DIAMOND kama fidia ya vifaa vyake na badala yake akataka aombwe msamaha na DIAMOND mwenyewe, na sio kumtuma mtu.

image Karandinga ambalo Diamond ametumia kufika mahakamani ni gx 100.

image Mdhamini wa msanii DIamond Edo Bashir Kushoto akizungumza na  Francis Godwin ambaye ndie mlalamikaji katika kesi hiyo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post