Ukiwa ni mwisho wa mwaka na kuelekea katika sikukuu ya chrismmass Vodacom wanaendelea kujitolea kwa jamii.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusioano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba (kulia) akiongea jambo na Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Stela Chiwango pamoja na Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo ya Share and Care.
Mpango huu huelekezwa zaidi kwa watoto yatima kuwapa mahitaji mbalimbali ili waweze kusherehekea vyema sikukuu.
Tags
Vodacom Tanzania