FATUMA MIKIDADI(MB) AIPA UWT BAISKELI 120

imageMBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA LINDI,BI FATMA MIKIDADI AKIKABIDHI BAISKELI KWA KATIBU WA CCM WA MKOA BW MGUMBA ILI NAE AKABIDHI KWA MAKATIBU WA KATA UWT jimbo la Lindi Mjini na Mchinga..Jumla ya baiskeli 120 Tayari amekabidhi kwa Makatibu wa kata 120(UWT)KWA MAJIMBO YA RUANGWA,NACHINGWEA,LIWALE,KILWA KUSINI NA KASKAZINI NA HIVI KARIBUNI ATAKABIDHI BAISKELI 30 KWA JIMBO LA MTAMA KWA AJILI YA KURAHISISHA UAMASISHAJI WA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA MWAKA 2012.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post