| JERI MURO AKILONGA NA WAANDISHI WA HABARI |
Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro (katikati) pamoja na washitakiwa wenzie wawili Edmund Kapama na Deogratias Mgasa (hawapo pichani)waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya sh. mil. 10, leo wameachiwa huru baada ya kuonekana hawana hatia Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
| JERI MURO AKITOKA MAHAKAMANI MARA BAADA YA KUTOKUTWA NA HATIA YEYOTE KATIKA KESI DHIDI YAKE |
Tags
KUTOKA MAHAKAMANI