Airtel Rising Star Kuanza Jumamosi- Karume

image

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akifafanua jambo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari juu kupanga ratiba ya fainali za Taifa za michuano ya Airtel Rising Stars ambayo inatarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye uwanja wa Kumbu Kumbu ya Karume Dar es Salaam,  zikishirikisha timu za kombaini za Mwanza, Iringa, Morogoro na Dar es Salaam. Pamoja naye ni Afisa Habari wa TFF Boniface Wambura (katikati ) na Afisa Mashindano Iddi Mshangama. Upangaji ratiba huo ulifanyika kwenye ofisi za TFF, Dar es Salaam leo Jumatano Septemba 14, 2011.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post