NIJUZE NIJUZE Author
Title: UTALII HADI SOKO LA SAMAKI FERI
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Watalii kutoka kundi la Earth  la Italia  wakiwa katika soko la Samaki la Feri mjini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya utalii wao hapa nchi...

image

Watalii kutoka kundi la Earth  la Italia  wakiwa katika soko la Samaki la Feri mjini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya utalii wao hapa nchini. Watalii hao walitarajia kuondoka leo jijini Dar es Salaam kwenda katika bunga za wanyama za Ruaha na Mikumi.

image

Watalii hao wakifurahia kamera ya mpigapicha wetu

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top