NIJUZE NIJUZE Author
Title: PEPE KALE CUP YATIMUA VUMBI–ILULU STADIUM
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
PEPE KALE CUP yaendelea leo uwanja wa ILULU Manispaa ya Linid na kuzi kutanisha timu mbili za Magereza FC na Beach Boyz` Hilo ndilo Benchi...

PEPE KALE CUP yaendelea leo uwanja wa ILULU Manispaa ya Linid na kuzi kutanisha timu mbili za Magereza FC na Beach Boyz`

Photo0251

Hilo ndilo Benchi la Magereza Fc wakati wakivuta pumzi baada ya dakika 45 kuisha huku wakiwa wametoshana nguvu mabao yakiwa Magereza Fc 1 V/s Beach Boyz 1. Gori la kwanza lilifunkwa na Saidi Ally(Beach Boyz) Dakika Za mwanzo wa mchezo na baadae Kusawazishwa na Buruan. Hadi mapumziko walikuwa 1-1.

Photo0255

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na kila timu wakisaka kuona nyavu za mwenzake hadi pale mchezaji juma haifai alipo badilisha matokeo na kufanya Magereza Fc kuwa washindi wa Mechi hiyo kwa kupachika mkwaju wa penati. hadi mwisho magereza Fc 2 na Beach Boyz 1

Photo0256

Photo0252

Ligi hiyo inaendelea hapo kesho kwa ratiba ya makundi.

Photo0260

KAMA ILIVYO ADA PANAPOKUWA NA WENGI HAPAKOSI VITUKO HUYU NI REFALII WA MECHI HIYO HEBU MUANGALIE KWANZA HAJA VAA YUNUFOM PILI MUANGALIE POZI LAKE KWENYE HIYO MEZA JE HUU NDIO MUONGOZO WA MASHINDANO NA MUONGOZO WA FIFA KATIKA BENCHI LA KAMISAA?

Photo0261

Hao wageni Rasmi wa Mchezo huo

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top