FAINALI ZAA KUSAKA TOP MODEL LAFANA JIJINI DAR

image

Baadhi ya warenmbo ambao hawakufanikiwa kuingia katika Fainali wakiwa wameketi

imageimage

Ni washiriki wakipita mbele ya majaji

image

Warembo 5 kati ya 30 wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, ambao wamefanikiwa kuingia fainali za kusaka taji la TOP MODEL wakiwa wamejipanga mbele ya majaji baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua hiyo usiku wa Agosti 9,2011 katika Hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam. Mshindi wa taji la TOP MODEL atajinyakulia tiketi ya moja kwa moja ya kuingia Nusu Fainali ya Vodacom Miss Tanzania 2011.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post