
Hao ni warembo baadhi kati ya warembo 17 walioko katika kambi ya Miss Ilala 2011 Julai 25, mwaka huu walichuana kuwania taji la Mrembo Mwenye Kipaji, shindano lililofanyika katika ukumbi wa Quality Centre uliopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.

Hawa ndio Waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania Hashim Lundenga (katikati) akiwa na mkewe pamoja na Bw. Prashant Patel (kushoto).