Machozi Band jana ilikuwa inasherehekea miaka 6 toka ianzishwe band hiyo, sherehe hizo zilikuwa pale kwenye kiota chao cha burudani NYUMBANI LOUNGE. Watu kibao walikuwepo na waimbaji wa machozi walipewa tuzo kwa kazi nzuri walizokuwa wakizifanya kwenye band hiyo
Tags
Shoo Mbali mbali TZ