NI MZIZIMA DABI: AZAM FC vs SIMBA SC

Leo majira ya saa moja Usiku pale uwanja wa Benjamin Mkapa, mtanange wa dabi ya Mzizima kati ya Azam Fc dhidi ya Simba utapigwa

Ni mchezo muhimu kwa simba kushinda ili kuhakikisha inarudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC

Wanakutana na Azam Fc inayoonekana kukamia mchezo huo wakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita wakifungwa na KMC mabao 2-1

azamfcofficial-313008816-966101160973186-2346705181855192790-n

Pamoja na Ugumu wake, kocha mkuu wa Simba Juma Mgunda alisema wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na dhamira ya kushinda

Mgunda alisema  wataingia kwa kuiheshimu Azam Fc kwani wanatambua ni moja ya timu bora kwenye ligi msimu huu

Simba imetoka kucheza na Yanga na kulazimisha sare ya bao 1-1, hivyo leo ushindi ni matokeo muhimu sana kwao

Leo majira ya saa moja Usiku pale uwanja wa Benjamin Mkapa, mtanange wa dabi ya Mzizima kati ya Azam Fc dhidi ya Simba utapigwa

Ni mchezo muhimu kwa simba kushinda ili kuhakikisha inarudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC

azamfcofficial-312750446-825914788444805-5358628386135645047-n

Wanakutana na Azam Fc inayoonekana kukamia mchezo huo wakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita wakifungwa na KMC mabao 2-1

Pamoja na Ugumu wake, kocha mkuu wa Simba Juma Mgunda alisema wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na dhamira ya kushinda

Mgunda alisema  wataingia kwa kuiheshimu Azam Fc kwani wanatambua ni moja ya timu bora kwenye ligi msimu huu

Simba imetoka kucheza na Yanga na kulazimisha sare ya bao 1-1, hivyo leo ushindi ni matokeo muhimu sana kwao

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post