Unknown Unknown Author
Title: U-HEARD - JOTI AMKANA GIGY MONEY
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama umekuwa ukipita pita kwenye mitandao ya kijamii siku mbili hizi naamini utakuwa umekutana na story zinazowahusisha mchekeshaji maarufu...
Joti
Kama umekuwa ukipita pita kwenye mitandao ya kijamii siku mbili hizi naamini utakuwa umekutana na story zinazowahusisha mchekeshaji maarufu nchini Joti na mwanadada mrembo video vixen Gigy Money kuhusu wawili hao kuwa katika mahusiano ya kimapenzi.

Sasa Soudy Brown ameamua kupiga story na Joti kwenye U-Heard ya XXL leo hii kuhusiana na tetesi hizo ikiwa inafahamika fika kuwa mpenzi wa Gigy Money ni Mo J na Joti amekwisha oa.

Joti amekanusha vikali kuhusiana na tetesi hizo na kudai kwamba yeye ana mke na watoto hivyo hapendelei maisha ya kukaa sana kwenye midomo ya watu kisa skendo chafu chafu kama hizo.

Wakati huo huo Gigy Money amethibitisha kuwa wanatoka kimapenzi na Joti, nani wa kuaminika? Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kusikiliza mwanzo mpaka mwisho.




++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top