Tunda Man ni msanii wa bongofleva ambaye makazi yake ni Dar es salaam ambapo February 3 2017 Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alizungumza kwenye makao ya Polisi kituo cha kati na kusema miongoni mwa watu atakaowahitaji wakamuone Jumatatu kwa ishu ya dawa za kulevya ni pamoja na Tunda.
Kwa sababu mkuu wa mkoa hakutumia majina halisi ya kuzaliwa, watu mbalimbali walianza kumpigia simu msanii Tunda Man baada ya kuambiwa jina lililotajwa na Makonda ni Tunda.
Baada ya simu za kutosha Tunda Man aliamua kuandika Instagram kwamba sio yeye aliyetajwa bali aliyetajwa ndio huyo kwenye picha, akaambatanisha na picha ya Mrembo Tunda ambaye ameonekana kama video queen kwenye video za bongofleva.
Tundaman aliandika "Jamani Tunda aliyetajwa na Muheshimiwa @PaulMakonda ni huyu na sio mie maana simu zimekua nyingi, @Sudibrown na wewe hujui au umeamua kunipigia tu…."

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.