Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuanza
kwa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera. Wengine katika
picha ni Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage, Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Vija Ajira na
Wenye Ulemavu Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce
Ndalichako wakiwa wameshika utepe huo.
Picha Juu na Chini: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua maeneo ya ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha
Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Taaswira
ya moja ya jengo katika mradi huo wa kituo cha Afya cha Kabyaile kilichopo
Misenyi mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo la mradi wa ujenzi
wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
PICHA NA IKULU
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.