Kwa bahati mbaya imeingia mtaani ngoma ya msanii wa Bongo Fleva Q Chief kwa kinachosemekana kuwa imevujishwa na producer wa awali ambaye aliiandaa kazi hiyo.

Amesikika Q Chief kwenye U-Heard katika kipindi XXL ya Clouds Fm leo hii akionyesha kuwa mwenye masikitiko makubwa kutokana na tukio hilo. Kwa madai yake Q Chief amedai kuwa mipango yake ilikuwa ni kuiachia ngoma hiyo mwezi january mwakani kama Mungu angetia baraka zake.
Unaweza kumsikiliza hapa Q Chief wakati akitoa Povu hilo kwenye U-Heard ya leo December 8 kwa kuplay hii video hapa chini.
Unaweza kumsikiliza hapa Q Chief wakati akitoa Povu hilo kwenye U-Heard ya leo December 8 kwa kuplay hii video hapa chini.
Tags
HABARI ZA WASANII