Kajala Masanja ni mmoja wa waigizaji wenye muonekano Mzuri katika Tasnia ya Bongo Movie na pia mwenye kipaji kikubwa katika uigizaji wa filam mbalimbali. Ameweza kuwana filamu nzuri na zenye kufuata maadili hali iliyomfanya kujizolea mashabiki wa Lika mbalimbali nchini na Nje ya Nchi.
Leo hii nimekuletea Picha zake Tano Kali katika Muonekano tofauti tofauti. Zicheki hapo Chini. Usisahau kuniachia Maoni yako hapo chini.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...