OFFICIAL MUSIC VIDEO | KOKORO BY RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ | WATCH HERE
byUnknown-
0
Kama kawaida ya WCB Wasafi, kuambatanisha video na audio kwa mpigo, ndicho kilichotokea leo baada ya Audio ya wimbo mpya wa Rich Mavoko ambao kafanya na Diamond Platnumz“Kokoro” kuachiwa masaa machache yaliyopita.
Hii hapa ni Official Video ya wimbo huo. Nakupa nafasi ya kuitazama kisha niachie maoni yako hapo chini kwenye uwanja wa comments kuhusiana na video hii. Enjoy
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...