MAJALIWA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA SITTA (+Picha)


Kasim Majaliwa na Mkewe Mary
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016.
Kasim Majaliwa na Mkewe Mary
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa na mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
***********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post