Leo asubuhi ya November 21, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliamua kutembea kwa mguu kutoka makazi yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake barabara ya Reli mjini Dodoma.
Pichani, Mheshimwa Majaliwa akilekea Ofisini kwake.
(Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
*************
*************
Tags
HABARI ZA KITAIFA