Pop staa Jennifer Lopez Aka J Lo anadhibitisha kuwa ukijitunza unaweza kuwa na muonekano mzuri ata baada ya kuwa na umri mkubwa.
Staa huyu wa muziki na filamu ana watoto wawili na ana miaka 47 ila bado anakimbizana na wanamitindo kama Kim Kardashian
Hii post yake imetawali mitandaoni November 4 2016 ikiwa na HashTag #loveyourselffirst.
Kim Kardashian aliwahi kupiga picha kama hii mwaka 2013.
Hii post yake imetawali mitandaoni November 4 2016 ikiwa na HashTag #loveyourselffirst.
— Jennifer Lopez (@JLo) November 3, 2016
Kim Kardashian aliwahi kupiga picha kama hii mwaka 2013.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.