Jioni ya leo Imekuwa ni mbaya kwa wakazi na Wamiliki wa Hoteli mbili zilizopo mjini Kilwa Hoteli ya Kimbilio na Iliyokuwa Kilwa Ruins Baada ya Kuteketea kwa Moto.
Hadi sasa chanzo cha moto huo Hakijaweza kujulikana, Pia kukosekana kwa gari la Zimamoto kulisababisha moto huo kushindwa kudhibitiwa na kuweza kuhamia kwenye Nyumba za Jirani na kufanya Uharibiifu wa nyumba hizo pia.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI YA TUKIO HILO
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.