
Baada ya Kutesa na Wimbo wake wa "Too Much" Rapper kutoka 255 Bongo Tz ameachia wimbo Mwingine ambao umekwenda sambamba na Utoaji wa Video yake hiyo.
Wimbo unakwenda kwa Jina "MUZIKI" akimshirikisha Ben Pol. Video imefanywa na Muongozaji Hanscana.
Fanya Kuicheki Hapa kisha niachie Maoni yako.
Tags
VIDEOS