OFFICIAL MUSIC VIDEO || MATONYA SUGUA BENCHI || ITAZAME HAPA

Matonya - Sugua Benchi
Muda mfupi baada ya msanii Matonya kuiachia audio ya ngoma yake mpya “Sugua Benchi” mkali huyo wa hit songs kibao kama unanimaliza na Vaileth anakualika kuitazama hii video mpya ya wimbo wake huo mpya “Sugua Benchi”

Enjoy Nayo Hapa:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post