
Video ya wimbo wa Barakah The Prince aliomshirikisha Alikiba, Nisamehe itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza, Jumanne, Oktoba 4 kupitia MTV Base. Video hiyo ilifanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Meji Alabi.
Chini ni kionjo chake.
Tags
HABARI ZA WASANII