BABA MZAZI WA THOMAS MASHALI AZUNGUMZIA KIFO CHA MWANAWE (+Video)

Kufuatia kifo cha Bondia maarufu nchini Thomas Mashali kuwa chenye utata wa kuhusishwa na matukio kadhaa (Wizi / Ugomvi).
Thomas Mashali
Lindiyetu.com imefanya jitihada za kuongea na Baba Mzazi wa marehemu Thomasi Mashali na pia Bondia mwenzake Francis Miyeyusho wamethibitisha kifo hicho na pia wamezengumza mengi kuhusiana na Kifo hicho.

Sitaki kuongeza wala kupunguza neno Bofya Play kusikiliza Mahojiano yote Hapa chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post