NANE NANE SPECIAL: GPSA YASHIRIKI VEMA NANENANE LINDI

GPSA
Meneja masoko na mauzo wa wakala wa ununuzi serikalini GPSA, Hamza Hasani akitoa maelezo juu ya huduma zinazotolewa na wakala hao kwa mteja aliyetembelea kwenye banda la wakala hao Katika banda la maonyesho ya nane nane viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
GPSA
Picha zingine ni wafanyakazi wa wakala Wa ununuzi serikalini GPSA wakiwa kwenye banda lao   lililopo kwenye viwanja vya ngongo mkoani LINDI.
GPSA
Uwepo wa Wakala Wa Ununuzi serikalini lengo kuu ni kutoa huduma bora za ununuzi na ugavi wa wizara, idara za serikali zinazojitegemea ikiwemo mashirika ya serikali na halmashauri.

PICHA Na Abdulaziz, Lindi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post