MFUKO WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA PILI KATIKA TAASISI ZA FEDHA NA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII, MAONESHO YA NANE NANE

KIKOMBE PPF-1
Meneja wa PPF Kanda ya Kusini Bwana Kwame Temu amesema ushindi uliopatikana ni kielelezo tosha kuwa PPF inatoa Mafao bora kwa sekta binafsi na rasmi kwa kuangalia mahitaji halisi ya Mtanzania.
KIKOMBE PPF
Kikombe cha Ushindi wa Pili katika Taasisi za fedha  na sekta ya hifadhi ya jamii, walichoshinda Mfuko wa PPF katika maonesho ya 23 ya Nane nane yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi na Kufungwa hapo jana na Makamo wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post