Moto umeteketeza Kiwanda cha 21 Century, maarufu kama 'Kiwanda cha Polista' asubuhi ya leo. Chanzo chake hakijajulikana.
Kiwanda hicho ni moja ya viwanda vichache vinavyofanya kazi ambapo kwa sasa kilikuwa kinatengeneza khanga na vitenge
Kiwanda kipo eneo la kihonda viwandani mjini Morogoro na zimamoto wanaendelea kuzima moto.
Hadi sasa Chanzo cha Moto huo hakijajulikana.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.