ZUU (JIKE SHUPA) AMCHANA SHILOLE NA KUSEMA KUWA YEYE STAA KITAMBO, HAMTISHI KWA LOLOTE, MTIZAME HAPA AKIFUNGUKA

Zuu
Zuu amejipatia umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda, Jike Shupa. Kilichomfanya ajulikane zaidi ni jinsi alivyofanana na Shilole. Lakini kwa sasa amedai kuwa kuna vita vikubwa kati yake na Shishi. Mtazame hapa akielezea.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post