NIJUZE NIJUZE Author
Title: HUU NI USHAURI AMBAO SHAA ALIPEWA NA LADY JAYDEE NA HATOKUJA KUUSAHAU MAISHANI MWAKE, TAZAMA VIDEO
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Shaa alipewa ushauri muhimu na Lady Jaydee ambao hadi leo hatousahau na umemsaidia kwenye maisha yake ya muziki. Namquote dada Jide ki...
Lady Jaydee na Shaa
Shaa alipewa ushauri muhimu na Lady Jaydee ambao hadi leo hatousahau na umemsaidia kwenye maisha yake ya muziki.
Namquote dada Jide kitambo like 5 or 6 years back aliniambia kwamba ‘ukifanya kazi hii kwaajili ya kupata awards mdogo wangu utagive up’ utakata tamaa. Aliniambia wewe fanya kazi hii focus kwenye malengo yako, tengeneza pesa ujifikishe pale unapotaka,” alisema Shaa kwenye video ambayo Jide aliipost Instagram.

Jide aliandika kwenye video hiyo:

Unapompatia mdogo wako ushauri halafu anaamua huufanyia kazi ni jambo la faraja sana. Keep it up my Shaa. Never ever Give up, no matter what.”

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top