Abdilahie Yusufu Mtanzania anaye kipiga Ligi ya England kimya kimya.
Amezaliwa February 20, 1992 kwa sasa ana miaka 24 na anacheza katika timu ya madaraja ya chini Mansfield United ambapo katika timu hiyo amefanikiwa kucheza michezo 21 na kufunga magoli 5 ana simama kama mshambuliaji.
Timu ambayo amefanya vizuri japo kufunga magoli mengi ni Oxiford City amecheza michezo 39 na kufunga magoli 27.
Huyu ni mchezaji wetu tena hakutaka kujitaja kuwa naye mwingereza japo hatukumjua hadi wazungu wenyewe wana mtoa katika historia zao kama ilivyo kwa Rashford inasemekana ni mzaliwa wa Zanzibari lakini hakuna uthibitisho.
Je, vyombo husika vya michezo (TFF, BAMITA) vilisha wahi kumfuata au kumshawishi arudi kuchezea timu yake ya Taifa?

Alianza kucheza katika ‘Academy’ ya Leicester city mwaka 2008-2011 lakini alishindwa kupata nafasi mwaka 2011 baada ya mkataba wake kuisha ndipo safari ya kuihama timu hiyo ikaanzia hapo akacheza vilabu 9 ambavyo vyote vinashiriki ligi daraja la kwanza hadi la pili.
Amezaliwa February 20, 1992 kwa sasa ana miaka 24 na anacheza katika timu ya madaraja ya chini Mansfield United ambapo katika timu hiyo amefanikiwa kucheza michezo 21 na kufunga magoli 5 ana simama kama mshambuliaji.
Timu ambayo amefanya vizuri japo kufunga magoli mengi ni Oxiford City amecheza michezo 39 na kufunga magoli 27.
Huyu ni mchezaji wetu tena hakutaka kujitaja kuwa naye mwingereza japo hatukumjua hadi wazungu wenyewe wana mtoa katika historia zao kama ilivyo kwa Rashford inasemekana ni mzaliwa wa Zanzibari lakini hakuna uthibitisho.
Je, vyombo husika vya michezo (TFF, BAMITA) vilisha wahi kumfuata au kumshawishi arudi kuchezea timu yake ya Taifa?
>> mtembezi.com
Tags
SPORTS NEWS