WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KIGOMA LEO

Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kigoma mchana huu, tayari kwa kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo.
Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoani Kigoma mara baada ya kuwasili.
Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Kigoma iliyofika kwenye Uwanja wa Ndege kumlaki.
Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kikundi cha ngoma cha akina mama wa ujiji Mkoani Kigoma. 
JKT Bulombora 821
Kwaya ya vijana wa JKT Bulombora 821 wakitumbuiza kwenye uwanja wa ndege wakati wa mapokezo ya Waziri Mkuu.
Picha na Editha Karlo, Globu ya Jamii, Kigoma.
Previous Post Next Post