
Hali ya usafiri katika stendi kuu ya mabasi Ubungo asubuhi ya leo ilikuwa si yakuridhisha kutokana na kukosekana kwa mabasi ya kutosha na kusababisha abiria kukaa zaidi ya saa sita kupata usafiri ambapo baadhi ya abiria wamewata wamiliki vyombo vya usafiri kuongeza mabasi ya akiba ili kurahisha usafirishaji wa abiria.
Tags
HABARI ZA KITAIFA