NIJUZE NIJUZE Author
Title: LULU AWAACHA WATU NJIAPANDA BAADA YA KUANDIKA MANENO HAYA KWENYE PICHA HII HAPA....!!!
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha watu...
Elizabeth Michael ‘Lulu’
Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kummwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ 
"Le Mbebe...!
Le Super Handsome🙌🙌🙌🙌
Le Twinnie💖💖💖
Mzaa Chema...Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA Kiume Popote ulipo Kama tumboni Kama kwenye mayai ya Uzazi au popote...Tafadhali rithi Kwa Babu yako utakapokuwa tayari kuja🏃🏃🏃"
- Haya ndio maneno aliyoyaandika. Ukiangalia picha hiyo kwa makini ni kweli wamefanana.

About Author

Advertisement

 
Top