HABARI ZA HIVI PUNDE:: MCHEZAJI WA YANGA ALWAZWA ICU KCMC BAADA YA KUJERUHIWA KATIKA KAMPENI
byNIJUZE-
0
Mchezaji wa zamani wa Yanga Nsa Job amelazwa ICU Kcmc baada ya kujeruhiwa kwenye ugomvi wa kampeni za siasa kati ya CCm na Chadema huko Kiborloni mjini Moshi