DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA PAMOJA NA WAKALI HAWA KWENYE STAGE YA BET EXPERIENCE AFRICA
byNIJUZE-
0
Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ndefu ya wasanii wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye show ya BET Experience Africa, Dec 12 jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Staa huyo wa Nana ataungana na wasanii wengine wa Afrika na Marekani wakiwemo Tamar Braxton, Maxwell na Flavour.