Unknown Unknown Author
Title: HII NDIO SIRI ILIYOFICHULIWA NA ROONEY KUMHUSU SIR ALEX FERGUSON
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney atoboa siri nzito iliyokuwa ikiindelea juu yake na kocha wa zamani wa timu hiyo Ferguson. ...
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney atoboa siri nzito iliyokuwa ikiindelea juu yake na kocha wa zamani wa timu hiyo Ferguson.
Wayne Rooney and Sir alex
Rooney alipokuwa akiongea na moja ya jalida la michezo huko Uingereza alisema kuwa Ferguson ni kocha wake aliompenda sana lakini katikati yao kulikuwa na tofauti ambazo hakupenda mashabiki wake na wachezaji wa timu hiyo kuzijua. Utofauti uliwafanya mara kadhaa kutokuwa na mazungumzo mazuri lakini kilichowafanya wote kuonyesha tofauti zao ni mapenzi ya kweli juu ya klabu na hawakutaka hali hiyo koonekana kama jinsi Mourinho anavyofanya kwa wachezaji wake.

About Author

Advertisement

 
Top