Unknown Unknown Author
Title: ANUSURIKA KIPIGO BAADA YA KUVALIA SARE ZA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA)
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwananchi aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampeni za ...
Kampeni CHAUMA, 2015Mwananchi aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.
Kampeni CHAUMA, 2015Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Dk. Hashim Rungwe, akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho, uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.
Kampeni CHAUMA, 2015Mzee wa chama hicho, Mbwana Hassan Mbwana akihutubia kwenye uzinduzi huo.Kampeni CHAUMA, 2015
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Robinson Fulgence Lembo, akihutubia kwenye uzinduzi huo.Kampeni CHAUMA, 2015Mgombea urais wa Zanzibar, Mohamed Masoud Rashid, akihutubia.Kampeni CHAUMA, 2015Wananchi wakishangilia.Kampeni CHAUMA, 2015Mgombea Mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Issa Abbas Hussein, akihutubia wakati wa uzinduzi huo.Kampeni CHAUMA, 2015Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.

About Author

Advertisement

 
Top