Unknown Unknown Author
Title: SAIDI MTANDA APANGUA SHUTUMA ZA KUIBA KURA NA KUTUMIA MBINU CHAFU KATIKA UCHAGUZI WA CCM JIMBO LA MCHINGA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Saidi Mtanda akizungumza na Waandishi wwa habari wa Mkoa wa Lindi kujibu shutma za Kutumia mbinu chafu katika Uchaguzi wa Kumtafuta muw...
Saidi Mtanda
Saidi Mtanda akizungumza na Waandishi wwa habari wa Mkoa wa Lindi kujibu shutma za Kutumia mbinu chafu katika Uchaguzi wa Kumtafuta muwakilishi wa Jimbo la Mchinga katika nafasi ya Ubunge kupitia CCM, mapema hivi leo 
Saidi Mtanda
Saidi Mtanda akionesha kitabu alichokiandaa ambacho amesema ndicho kilikuwa dira yake ya kuleta maendeleo katika jimbo la Mchinga.
Na. Mwandishi Wetu, Lindi
Lindiyetu.com Iliweza kukuhabarisha juu ya Malalamiko ya wagombea walioshindwa katika kinyang'anyiro cha kumpata mgombea wa kukiwakilisha chama cha mapinduzi kwa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi ambapo wagombea hao waliweza kueleza sababu za kushindwa kwao na kueleza wazi wazi kuwa wameweza kufanyiwa mbinu chafu na Mshindi aliyetangazwa kushinda ambaye ni Saidi Mtanda anatetea nafasi yake ya Ubunge katika Jimbo hilo.

Leo hii Blog yako ya Jamii Lindiyetu.com iliweza fanya mahojiano na Mbunge huyo wa jimbo la Mchinga ndug Saidi Mtanda na Kueleza kuwa Malalamiko yaliyotolewa na Wagombea wenzake hayana ukweli hata kidogo.

Mtanda alisema ameshinda kwa Haki na hakuna Uchaguzi uliokuwa mrahisi kwake kama wa Mwaka huu kwani hajaumiza kichwa hata kidogo kwakuwa tayari alisha wajua wananchi wake wanahitaji nini na yeye alitekeleza matakwa yao kwa jinsi alivyoweza na ndio ulikuwa mtaji kwake katika Uchaguzi huu.

Nisiweze kuongeza chumvi ndugu msomaji Hebu msikilize hapa akizungumzia Sakata zima...!!

About Author

Advertisement

 
Top