Menaja wa wasanii wa kundi la Yamoto Band na Mkubwa na Wanawe Said Fella amefanikiwa kupata asilimia 87 ya kura za kumuwezesha agombanie udiwani wa kata ya Kilungule. Said Fellakupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) alitufahamisha kwa maneno haya:-
"Asante MUNGU asante wadau asante TMK WANAUME family asante WCB asante Mkubwa na Wanawe asante TIP TOP Connection asante wanachama wenzangu asante wadau wetu asanteni kila mmoja wetu anae kubali harakati zangu jana ni siku nyengine nimetengeneza history kwa kupigiwa kura nyingi na wana ccm wenzangu kwenye kinyang’anyilo cha udiwani kata ya kilungule na shukulu MUNGU nimepata asilimia 87 kwa kura zote asante MUNGU ”